Mkufunzi wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa atakata tamaa iwapo Manchester United ilifanya mazungumzo na Jose Mourinho....
Mwanamke Aliyemkaba Jambazi Na Kumpora Bunduki Aina Ya SMG Azawadiwa Laki 5 Na Jeshi La Polisi
Mwanamke aliyepambana na jambazi na kufanikiwa kumnyang’anya bunduki aina ya SMG, Sophia Manguye (46), amepewa zawadi ya Sh ...
ZEC Yagoma Kuondoa Picha ya Maalim Seif Kwenye Karatasi za Kura........CUF Yasema Ipo Tayari Kwa Mazungumzo ila Sio Kurudia Uchaguzi
Z ikiwa zimebaki siku chache kabla ya kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar, Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharrif Hamad amehoj...
Vigogo wa TRL wafikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini DSM.
Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa shirika la reli Tanzania (TRL), Kipallo Kisamfu na wenzake 10 wamefikishwa katika mahakama ya hak...
Siku 100 za rais Magufuli zagusa wananchi kihuduma za afya.
Wasomi na wananchi wa kada mbalimbali wamesema ndani ya siku 100 za kwanza za rais John Magufuli zimewezesha kugusa maisha yao h...
BASATA YAIFUNGIA RASMI WIMBO WA NAY WA MITEGO 'Shika Adabu yako'
BASATA limetoa makucha yake. Hii ni taarifa yake rasmi iliyotoka Ijumaa hii: Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia ...
WEMA SEPETU AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KWA UJAUZITO WAKE......KWA HII POST
Mashabiki wa Wema Sepetu waliingiwa na hofu kali baada ya mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kuandik...
Tanesco yaokoa shilingi bilioni 2.7 zinazopotea kutokana na ubovu wa miundombinu.
Shirika la umeme nchini Tanesco limeokoa shilingi bilioni 2.7 zilizokuwa zinapotea kutokana na ubovu wa miundombinu pamoja na ta...
Watendaji wa 2 wakala wa vipimo wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini.
SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa...
Serikali yaipa siku 30 TASAF kuwafikisha katika vyombo vya Sheria waliotumia fedha vibaya.
Serikali imeipa siku thelathini Menejimenti ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini TASAF kuwatafuta na kuwafikisha katika vyo...