Serikali ipo katika mkakati wa kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo katika fani za kipaumbele, kutumikia katika utumishi wa umma nchini ...
Panya Road Apewa Kipigo Kizito na Wananchi .....Azinduka Akiwa Mochwari
Mtoto Isack Ernest (16) anayetuhumiwa kuwa ni mhalifu, maarufu Panya Road, amezinduka akiwa chumba cha kuhifadhia maiti ...
Rais Dkt. Magufuli Amjulia Hali Spika Wa Bunge Job Ndugai Pamoja Na Waziri Mkuu Mstaafu John Samuel Malecela Jijini Dar Es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Agosti, 2016 amewatembel...
TANZIA: Aliyekuwa Rais wa Z’bar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi afariki dunia
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (1972-1984), Mz...
UVCCM waanza kutumbuana, baadhi wasimamishwa wengine wafukuzwa kazi.
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoani hapa, umewasimamisha kazi na kuwafukuza viongozi wake wa Mk...
Agizo la Rais Magufuli Laanza kutekelezwa mgodi wa Geita
Agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkoani Geita la kuwagawia wananchi mabaki ya mawe maarufu kama Ma...
Serikali yatangaza kuisafisha Sekta ya Elimu na Watumishi wa umma wenye vyeti bandia.
Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa kampeni ya kuwashughulikia na kuwaondoa katika utumishi wa umma watumishi wote walioajiriwa katika...
Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam , Willson Kabwe Afariki Dunia
A liyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe ambaye April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli amefariki d...
Waziri Kitwanga akijibu swali huku amelewa Bungeni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John P. Magufuli jana alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiw...
Sheria kali zimechukuliwa baada ya mke kupekua simu ya mumewe bila ruhusa
Mke kutumia simu ya mumewe kwa baadhi ya wanandoa inaweza kuwa ni ishu ya kawaida ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aapa Kukomesha Lumbesa
WAZIRI Mkuu, Kasim Majaliwa, ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaodhulumu wakulima kwa kununua mazao kwa kuyafunga kwenye magunia bil...
Sakata la Escrow na IPTL Laibuka Upya Bungeni
Kambi ya upinzani imeliibua upya bungeni sakata la Escrow, Richmond na umiliki wa kampuni ya IPTL, huku ikihoji sab...
Binti wa Miaka 16 Kutoka Mwanza Ahutubia Umoja wa Mataifa
Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkut...
Serikali yawakalia Kooni Watumishi wazembe na wabadhilifu
Serikali imesema kuanzia sasa mtumishi wa umma atakayeshindwa kusimamia rasilimali za umma, achague moja kati ya mawili, kuacha kazi...
Basi Kutoka Mwanza Laua 6 na Kujeruhi 38
Watu sita wamekufa na wengine zaidi ya 38 kujeruhiwa na kulazwa Hospitali ya Rufani Mkoa wa Iringa baada ya basi walilokuwa wakisafiri...
Watumishi hewa 169 wagundulika Kigoma.....Mkuu wa Mkoa awataka wakurugenzi kubainisha kiasi walicholipwa mwaka mzima.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga amewataka wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote waliopo katika halmashauri zo...
Rais Magufuli Ahudhuria Ibada Ya Ijumaa Kuu Leo Jijini Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuubusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu katika...
Lucy Mayenga Ajisalimisha....Amuomba Rais Magufuli Ampumzishe Ukuu wa Wilaya
Wakati Taifa likisubiri uteuzi wa wakuu wa wilaya huku wanaoshikilia nafasi hizo wakiwa katika chekeche kwa kuzingatia vigezo vitano,...
Breaking News : Rais Magufuli Ampiga Chini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.....John Kijazi Kateuliwa Kuchukua Nafasi Yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu M...