Ni August 12, 2016
ambapo nguli wa muziki wa Taarab mzee Yusufu amechukua headlines katika
vyombo mbalimbali hasa mitandaoni kuhusiana na kutangaza kuacha kazi ya
muziki wa Taarab na kuaamua kuishika zaidi dini yake ya Kiislamu hivyo
hatofanya tena muziki wa Taarabu.
.
.
Post a Comment