Muimbaji kiongozi wa kundi la Yamoto Band, Asley Isihaka amefiwa na
mama yake mzazi ambaye alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.
Taarifa za msiba huo zimethibitishwa na meneja wa Yamoto Band, Said
Fella. Kwa mujibu wa Fella, mama Asley alikuwa anasumbuliwa na Presha na
Kisukari na jana usiku alizidiwa na kukimbizwa hospitali ambapo
alifariki majira ya alfajiri.
Mjuaji tz inatoa pole kwa Asley, ndugu jamaa na wote walioguswa na msiba. Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.
Source Dar24
Related Posts
- Anonymous24 Oct 2016Alichokiandika Diamond baada ya tuzo za MTV Mama 2016 kumalizika
Utoaji wa tuzo za MTV Mama 2016 zinazoanda...
- Anonymous19 Oct 2016Kinara wa bendi nchini Tanzania kuingia studio na Davido……
Ni headlines za mwimbaji wa bendi kutoka A...
- Anonymous16 Aug 2016Dully Sykes adai awali alipanga kumshirikisha Diamond kwenye Inde
Dully Sykes amedai kuwa awali alipanga kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake Inde aliof...
- Anonymous16 Aug 2016Jibu la Mwimbaji Emmanuel Mbasha kuhusu kurudiana na Flora Mbasha
Kama utakuwa unakumbuka mnamo September ...
- Anonymous16 Aug 2016Idris Sultan na Wema Sepetu wazinguana tena
Idris Sultan na Wema Sepetu wamezinguana kwa mara nyingine tena. ...
- Anonymous15 Aug 2016Nay wa Mitego kamalizana na BASATA lakini……
Kama utakuwa unakumbuka 27, 7, 2016 Baraza...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment